Kiswahili

Learn Swahili

Perfect
4.8/5
from 5 reviews
Common greetings:Salamu za kawaida
Good morning/ afternoon/ evening/ nightHabari ya asubuhi/ mchana/ jioni/ usiku
Hello!Jambo!
A respectful greeting to elders, actually meaning “I hold your feet”Shikamoo
Their reply: “I am delighted”Marahaba
How are you?Habari yako?
-I am fine-Nzuri
-I am not feeling good today-Sijiziki vizuri leo
How are things?Mambo?
-Good / cool / cool & crazy-Safi / poa / poa kichizi
See you laterTuta onana baadaye
Welcome! (Welcome again!)Karibu! (Karibu tena!)
GoodbyeKwaheri
We or you?Sisi au ninyi?
IMimi
YouWewe
He / sheYeye
WeSisi
You (plural)Ninyi
TheyWao
On the moveKwenye mwendo
Where can I get a taxi?Teksi iko wapi?
Where is the bus station?Stendi ya basi iko wapi?
When will we arrive?Tutafika lini?
Can you show me the bus?Unaweza ukanioyesha basi?
How much is the ticket?Tiketi ni bei gani?
Is it safe walking here at night?Ni salama kutembea hapa usiku?
In the restaurantKwenye ungahawa
Can I have the menu, please?Tafadhali, nipe menu
I would like to orderNinapenda kuagiza
Can I have some water, please?Tafadhali, naomba maji
I would like some chickenMimi nataka kuku
Can I have the bill, please?Tafadhali, nipe bili
The food is very good!Chakula ni kizuri sana!
Facing the toutsKukutana na wasumbufu
Sorry, I don’t have timeSamahani, sina muda
I don’t want to buy anythingSitaki kununua chochote
I have already booked a safariTayari nimeisha lipia safari
I don’t have moneySina hela
I’m not singleNina mchumba
Could you please leave me alone?Tafadhali, achana na mimi
It is none of your business!Hayakuhusu!
About yourselfKuhusu wewe mwenyewe
Where do you come from?Unatokea wapi?
-I come from Norway-Mimi ninatokea Norway
How old are you?Una miaka mingapi?
-I am 25 years old-Nina miaka 25 (ishirini na tano)
What is your name?Jina lako nani?
-My name is …-Jina langu ni …..
How long have you been here?Una muda gani hapa?
-I’ve been here 1 day / week / month-Nina siku / wiki / mwezi 1 (mmoja)
What is your profession?Fani yako ni nini?
-I am a student-Mimi ni mwanafunzi
-I am working in a hospital-Ninafanya kazi hospitali
How much, did you say?Umesema bei gani?
1mmoja
2mbili
3tatu
4nne
5tano
6sita
7saba
8nane
9tisa
10kumi
100mia mmoja
1,000elfu mmoja
10,000elfu kumi
100,000laki mmoja
1,000,000milioni mmoja
AnimalsWanyama
AntSiafu
BaboonNyani
BuffaloNyati
CatPaka
CheetahDuma
ChickenKuku
ColobusMbega
CowNg’ombe
CrocodileMamba
DikdikDika
DogMbwa
ElandPofu
ElephantTembo
FishSamaki
GerenukSwala twiga
GiraffeTwiga
HartebeestKongoni
HippoKiboko
HyenaFisi
ImpalaSwala pala
JackalMbweha
KuduTandala
LeopardChui
LionSimba
MonkeyTumbili
MosquitoMbu
PeacockTausi
PigNguruwe
OryxChoroa
OstrichMbuni
RoanKorongo
RhinoFaru
ServalMondo
SnakeNyoka
TopiNyamera
VultureDai
WarthogNgiri
WaterbuckKuro
Wild dogMbwa mwitu
WildebeestNyumbu
ZebraPunda milia
When you’re hungryUnapokuwa na njaa
FruitsMatunda
VegetablesMboga
MeatNyama
PorkNguruwe
BeefNg’ombe
MuttonMbuzi
ChickenKuku
FishSamaki
PineappleNanasi
Water melonTikiti maji
OrangeMachungwa
LemonLimau
BananaNdizi
CoconutNasi
CarrotKeroti
PotatoViazi
TomatoNyanya
OnionVitunguu
PaprikaPili pili hoho
MushroomUyoga
SalladSaladi
MilkMaziwa
Water (for drinking)Maji (ya kunwa)
BeerBia / pombe
SodaSoda
Coffe (black / with milk)Kahawa (ya rangi / ya maziwa)
Tea (black / with milk)Chai (ya rangi / ya maziwa)
HotMoto
ColdBaridi
BreadMkate
Egg(s)Yai (mayai)
ButterSiagi
From Tourist
Share This :